Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 48 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿وَإِنَّهُۥ لَتَذۡكِرَةٞ لِّلۡمُتَّقِينَ ﴾
[الحَاقة: 48]
﴿وإنه لتذكرة للمتقين﴾ [الحَاقة: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hii Qur’ani ni mawaidha kwa wachamungu wanaofuata amri za Mwenyezi Mungu na kuyaepuka makatazo yake |