Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 78 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿فَأَخَذَتۡهُمُ ٱلرَّجۡفَةُ فَأَصۡبَحُواْ فِي دَارِهِمۡ جَٰثِمِينَ ﴾
[الأعرَاف: 78]
﴿فأخذتهم الرجفة فأصبحوا في دارهم جاثمين﴾ [الأعرَاف: 78]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi wale waliokufuru walishikwa na tetemeko kali ambalo lilizitoa nyoyo zao, wakawa wameangamia katika mji wao, wamegandama na ardhi kwa magoti yao na nyuso zao, hakuna yoyote kati yao aliyeponyoka |