Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 16 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿نَزَّاعَةٗ لِّلشَّوَىٰ ﴾
[المَعَارج: 16]
﴿نـزاعة للشوى﴾ [المَعَارج: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Huo ni moto wa Jahanamu, moto wake unawaka na kuroroma, joto lake linatoa kwa nguvu ngozi ya kichwa na sehemu nyingine za mwili |