Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 17 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿تَدۡعُواْ مَنۡ أَدۡبَرَ وَتَوَلَّىٰ ﴾
[المَعَارج: 17]
﴿تدعو من أدبر وتولى﴾ [المَعَارج: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr unamwita aliyeipa mgongo haki duniani na akaacha kumtii Mwenyezi Mungu na Mtume Wake |