Quran with Swahili translation - Surah Al-Qiyamah ayat 39 - القِيَامة - Page - Juz 29
﴿فَجَعَلَ مِنۡهُ ٱلزَّوۡجَيۡنِ ٱلذَّكَرَ وَٱلۡأُنثَىٰٓ ﴾
[القِيَامة: 39]
﴿فجعل منه الزوجين الذكر والأنثى﴾ [القِيَامة: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akafanya kutokana na binadamu huyu jinsi mbili: ya kiume na ya kike. Je kwani hakuwa Mola huyo Muumba wa vitu hivyo ni Muweza wa kuwarudisha viumbe wakiwa hai baada ya kutoweka kwao |