Quran with Swahili translation - Surah Al-Qiyamah ayat 38 - القِيَامة - Page - Juz 29
﴿ثُمَّ كَانَ عَلَقَةٗ فَخَلَقَ فَسَوَّىٰ ﴾
[القِيَامة: 38]
﴿ثم كان علقة فخلق فسوى﴾ [القِيَامة: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kisha yakawa ni kipande cha damu iliyo kavu. Mwenyezi Mungu Akaliumba kwa uweza Wake na Akazilinganisha sura zake katika umbo la mwili lililo zuri kabisa |