Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 50 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿فَبِأَيِّ حَدِيثِۭ بَعۡدَهُۥ يُؤۡمِنُونَ ﴾
[المُرسَلات: 50]
﴿فبأي حديث بعده يؤمنون﴾ [المُرسَلات: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Iwapo wao hawataiamini hii Qur’ani, basi wataamini kitabu gani na maneno gani baada yake? Na Qur’ani yenyewe ni Kitabu kilichobainisha kila kitu, kilicho wazi katika hekima zake, hukumu zake na habari zake, chenye kushinda katika matamko yake na maana yake |