Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 6 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿عُذۡرًا أَوۡ نُذۡرًا ﴾
[المُرسَلات: 6]
﴿عذرا أو نذرا﴾ [المُرسَلات: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa Malaika wanaoupokea wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu na kuuteremsha kwa Manabii Wake, unaowapa viumbe wake udhuru kutoka kwa Mwenyezi Mungu na pia onyo kutoka Kwake, ili watu wasiwe na hoja |