Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 7 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿إِنَّمَا تُوعَدُونَ لَوَٰقِعٞ ﴾
[المُرسَلات: 7]
﴿إنما توعدون لواقع﴾ [المُرسَلات: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika jambo la Kiyama mnaloahidiwa pamoja na lile la kuhesabiwa na kulipwa ni lenye kuwa hapana shaka |