Quran with Swahili translation - Surah An-Naba’ ayat 4 - النَّبَإ - Page - Juz 30
﴿كـَلَّا سَيَعۡلَمُونَ ﴾
[النَّبَإ: 4]
﴿كلا سيعلمون﴾ [النَّبَإ: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mambo sivyo kama wanavyodhania hawa washirikina. Hapo watajua hawa washirikina upeo wa kukanusha kwao na kitawadhihirikia waziwazi kile Atakachowatenda Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama |