Quran with Swahili translation - Surah An-Naba’ ayat 5 - النَّبَإ - Page - Juz 30
﴿ثُمَّ كـَلَّا سَيَعۡلَمُونَ ﴾
[النَّبَإ: 5]
﴿ثم كلا سيعلمون﴾ [النَّبَإ: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha litahakikishika kwao jambo hilo na utahakikishika kwao ukweli wa yale aliyokuja nayo Mtume Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kuhusu Qur’ani na kufufuliwa. Huu ni utisho na makemeo kwao |