Quran with Swahili translation - Surah Al-InfiTar ayat 11 - الانفِطَار - Page - Juz 30
﴿كِرَامٗا كَٰتِبِينَ ﴾
[الانفِطَار: 11]
﴿كراما كاتبين﴾ [الانفِطَار: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr watukufu kwa Mwenyezi Mungu, waandishi wa yale waliyowakilishwa kuyadhibiti. Hakiwapiti, katika vitendo vyenu na siri zenu, chochote |