Quran with Swahili translation - Surah Al-InfiTar ayat 14 - الانفِطَار - Page - Juz 30
﴿وَإِنَّ ٱلۡفُجَّارَ لَفِي جَحِيمٖ ﴾
[الانفِطَار: 14]
﴿وإن الفجار لفي جحيم﴾ [الانفِطَار: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika watu waovu waliopuuza haki za Mwenyezi Mungu na haki za waja wake watakuwa katika Moto mkali |