Quran with Swahili translation - Surah Al-Lail ayat 1 - اللَّيل - Page - Juz 30
﴿وَٱلَّيۡلِ إِذَا يَغۡشَىٰ ﴾
[اللَّيل: 1]
﴿والليل إذا يغشى﴾ [اللَّيل: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Anaapa kwa usiku unapoifinika ardhi na vilivyoko juu yake kwa giza lake |