Quran with Swahili translation - Surah Al-Lail ayat 15 - اللَّيل - Page - Juz 30
﴿لَا يَصۡلَىٰهَآ إِلَّا ٱلۡأَشۡقَى ﴾
[اللَّيل: 15]
﴿لا يصلاها إلا الأشقى﴾ [اللَّيل: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hataingia Moto huo isipokuwa aliyekuwa mbaya sana. Mwenye kumkanusha Nabii Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie |