Quran with Swahili translation - Surah Ad-duha ayat 7 - الضُّحى - Page - Juz 30
﴿وَوَجَدَكَ ضَآلّٗا فَهَدَىٰ ﴾
[الضُّحى: 7]
﴿ووجدك ضالا فهدى﴾ [الضُّحى: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Akakupata hujui Kitabu wala Imani, Akakufundisha yale amabayo ulikuwa huyajui na akakuafikia kufanya amali bora |