Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Alaq ayat 8 - العَلَق - Page - Juz 30
﴿إِنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلرُّجۡعَىٰٓ ﴾
[العَلَق: 8]
﴿إن إلى ربك الرجعى﴾ [العَلَق: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi, ajue kila mwenye kutupa mipaka kuwa mwisho atarudi kwa Mwenyezi Mungu Ambaye Atamlipa kila binadamu kwa alilolitenda |