×

Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio 98:1 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Bayyinah ⮕ (98:1) ayat 1 in Swahili

98:1 Surah Al-Bayyinah ayat 1 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Bayyinah ayat 1 - البَينَة - Page - Juz 30

﴿لَمۡ يَكُنِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ مِنۡ أَهۡلِ ٱلۡكِتَٰبِ وَٱلۡمُشۡرِكِينَ مُنفَكِّينَ حَتَّىٰ تَأۡتِيَهُمُ ٱلۡبَيِّنَةُ ﴾
[البَينَة: 1]

Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لم يكن الذين كفروا من أهل الكتاب والمشركين منفكين حتى تأتيهم البينة, باللغة السواحيلية

﴿لم يكن الذين كفروا من أهل الكتاب والمشركين منفكين حتى تأتيهم البينة﴾ [البَينَة: 1]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hawakuwa wenye kukufuru miongoni mwa Mayhudi na Wanaswara na washirikina ni wenye kuacha ukafiri wao mpaka uwajilie wao ushahidi walioahidiwa katika vitabu vilivyopita
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek