Quran with Swahili translation - Surah At-Takwir ayat 25 - التَّكوير - Page - Juz 30
﴿وَمَا هُوَ بِقَوۡلِ شَيۡطَٰنٖ رَّجِيمٖ ﴾
[التَّكوير: 25]
﴿وما هو بقول شيطان رجيم﴾ [التَّكوير: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wala haikuwa hii Qur’ani ni neno la Shetani aliyefukuzwa na kutolewa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu. Lakini Qur’ani hii ni maneno ya Mwenyezi Mungu na ni Wahyi wake |