×

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote 1:2 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Fatihah ⮕ (1:2) ayat 2 in Swahili

1:2 Surah Al-Fatihah ayat 2 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Fatihah ayat 2 - الفَاتِحة - Page - Juz 1

﴿ٱلۡحَمۡدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الفَاتِحة: 2]

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: الحمد لله رب العالمين, باللغة السواحيلية

﴿الحمد لله رب العالمين﴾ [الفَاتِحة: 2]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kila jinsi ya sifa njema ni ya Mwenyezi Mungu, Mwenye sifa ambazo zote ni za ukamilifu, Mwenye neema za nje na za ndani, za kidini na za kidunia. Na ndani yake kuna amri ya Mwenyezi Mungu kwa waja Wake wamsifu Yeye kwa kuwa Yeye Ndiye Mstahiki wa kusifiwa Peke Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek