×

Na miongoni mwao wapo wanao iamini, na miongoni mwao wapo wasio iamini. 10:40 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yunus ⮕ (10:40) ayat 40 in Swahili

10:40 Surah Yunus ayat 40 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 40 - يُونس - Page - Juz 11

﴿وَمِنۡهُم مَّن يُؤۡمِنُ بِهِۦ وَمِنۡهُم مَّن لَّا يُؤۡمِنُ بِهِۦۚ وَرَبُّكَ أَعۡلَمُ بِٱلۡمُفۡسِدِينَ ﴾
[يُونس: 40]

Na miongoni mwao wapo wanao iamini, na miongoni mwao wapo wasio iamini. Na Mola wako Mlezi anawajua vyema mafisadi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومنهم من يؤمن به ومنهم من لا يؤمن به وربك أعلم بالمفسدين, باللغة السواحيلية

﴿ومنهم من يؤمن به ومنهم من لا يؤمن به وربك أعلم بالمفسدين﴾ [يُونس: 40]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na miongoni mwa watu wako, ewe Mtume, kuna anayeiamini Qur’ani na miongoni mwao kuna asiyeiamini mpaka afe kwenye msimamo huo na afufuliwe juu yake. Na Mola wako ni Anawajua zaidi hao waharibifu ambao hawaiamini kwa njia ya udhalimu, ushindani na uharibifu, na Atawalipa juu ya uharibifu wao kwa adhabu iliyo kali zaidi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek