×

Na wakikukanusha wewe, sema: Mimi nina a'mali yangu, na nyinyi mna a'mali 10:41 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yunus ⮕ (10:41) ayat 41 in Swahili

10:41 Surah Yunus ayat 41 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 41 - يُونس - Page - Juz 11

﴿وَإِن كَذَّبُوكَ فَقُل لِّي عَمَلِي وَلَكُمۡ عَمَلُكُمۡۖ أَنتُم بَرِيٓـُٔونَ مِمَّآ أَعۡمَلُ وَأَنَا۠ بَرِيٓءٞ مِّمَّا تَعۡمَلُونَ ﴾
[يُونس: 41]

Na wakikukanusha wewe, sema: Mimi nina a'mali yangu, na nyinyi mna a'mali yenu. Nyinyi hamna jukumu kwa niyatendayo, wala mimi sina jukumu kwa myatendayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإن كذبوك فقل لي عملي ولكم عملكم أنتم بريئون مما أعمل وأنا, باللغة السواحيلية

﴿وإن كذبوك فقل لي عملي ولكم عملكم أنتم بريئون مما أعمل وأنا﴾ [يُونس: 41]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wakikukanusha, ewe Mtume, washirikina hawa waambie, «Mimi nina Dini yangu na matendo yangu, na nyinyi muna dini yenu na matendo yenu; nyinyi hamtaadhibiwa kwa matendo yangu, na mimi sitaadhibiwa kwa matendo yenu.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek