Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 8 - يُونس - Page - Juz 11
﴿أُوْلَٰٓئِكَ مَأۡوَىٰهُمُ ٱلنَّارُ بِمَا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ ﴾
[يُونس: 8]
﴿أولئك مأواهم النار بما كانوا يكسبون﴾ [يُونس: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hao makao yao ni Moto wa Jahanamu huko Akhera, yakiwa ni malipo kwa yale ambayo wao walikuwa wakiyatenda katika ulimwengu wao ya madhambi na hatia |