Quran with Swahili translation - Surah Al-Qari‘ah ayat 5 - القَارعَة - Page - Juz 30
﴿وَتَكُونُ ٱلۡجِبَالُ كَٱلۡعِهۡنِ ٱلۡمَنفُوشِ ﴾
[القَارعَة: 5]
﴿وتكون الجبال كالعهن المنفوش﴾ [القَارعَة: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na majabali yatakuwa ni kama pamba yenye rangi tofauti inayochambuliwa kwa mkono ikawa ni mapepe na ikamalizika |