Quran with Swahili translation - Surah Al-Qari‘ah ayat 4 - القَارعَة - Page - Juz 30
﴿يَوۡمَ يَكُونُ ٱلنَّاسُ كَٱلۡفَرَاشِ ٱلۡمَبۡثُوثِ ﴾
[القَارعَة: 4]
﴿يوم يكون الناس كالفراش المبثوث﴾ [القَارعَة: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku hiyo watu watakuwa , kwa wingi wao, kugawanyika kwao na kuzunguka kwao, ni kama pandzi walioenea. Nao ni wale wanaojitupa motoni |