Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 3 - يُوسُف - Page - Juz 12
﴿نَحۡنُ نَقُصُّ عَلَيۡكَ أَحۡسَنَ ٱلۡقَصَصِ بِمَآ أَوۡحَيۡنَآ إِلَيۡكَ هَٰذَا ٱلۡقُرۡءَانَ وَإِن كُنتَ مِن قَبۡلِهِۦ لَمِنَ ٱلۡغَٰفِلِينَ ﴾
[يُوسُف: 3]
﴿نحن نقص عليك أحسن القصص بما أوحينا إليك هذا القرآن وإن كنت﴾ [يُوسُف: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi tunakusimulia wewe, ewe Mtume, visa vizuri zaidi kwa wahyi tuliyokuletea wa hii Qur’ani, na ingawa, kabla ya kukuteremshia, ulikuwa ni miongoni mwa walioghafilika nazo, hujui chochote kuhusu habari hizi |