Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 91 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿ٱلَّذِينَ جَعَلُواْ ٱلۡقُرۡءَانَ عِضِينَ ﴾
[الحِجر: 91]
﴿الذين جعلوا القرآن عضين﴾ [الحِجر: 91]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na wao ni wale walioifanya Qur’ani kuwa ni vigawannyo na mafungu.» Kati yao kuna wanaosema, ‘ni uchawi’ na kati yao kuna wanaosema, ‘ni ukuhani’ na kati yao kuna wanaosema yasiyokuwa hayo ili wawazuie watu kufuata uongofu |