Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 90 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿كَمَآ أَنزَلۡنَا عَلَى ٱلۡمُقۡتَسِمِينَ ﴾
[الحِجر: 90]
﴿كما أنـزلنا على المقتسمين﴾ [الحِجر: 90]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ni mwenye kuwaonya nyinyi isije ikawapata adhabu kama ile Aliyoiteremsha Mwenyezi Mungu kwa wale walioigawanya Qur,ani, wakaiamini baadhi yake na wakaikanusha baadhi nyingine miongoni mwa Mayahudi, Wanaswara na makafiri wa Kikureshi |