Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 13 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَحَنَانٗا مِّن لَّدُنَّا وَزَكَوٰةٗۖ وَكَانَ تَقِيّٗا ﴾
[مَريَم: 13]
﴿وحنانا من لدنا وزكاة وكان تقيا﴾ [مَريَم: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tulimpa rehema na mapenzi kutoka kwetu na kusafika na madhambi. Na alikuwa ni muogopaji Mwenyezi Mungu Aliyetukuka na ni mtiifu Kwake, mtekelezaji yale Aliyoyalazimisha na ni mwenye kujiepusha na yale Aliyoyaharamisha |