Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 14 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَبَرَّۢا بِوَٰلِدَيۡهِ وَلَمۡ يَكُن جَبَّارًا عَصِيّٗا ﴾
[مَريَم: 14]
﴿وبرا بوالديه ولم يكن جبارا عصيا﴾ [مَريَم: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na alikuwa mtiifu kwa wazazi wake wawili, na hakuwa ni mwenye kiburi cha kutomtii Mola wake na kutowatii wazazi wake wawili |