Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 33 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَٱلسَّلَٰمُ عَلَيَّ يَوۡمَ وُلِدتُّ وَيَوۡمَ أَمُوتُ وَيَوۡمَ أُبۡعَثُ حَيّٗا ﴾
[مَريَم: 33]
﴿والسلام علي يوم ولدت ويوم أموت ويوم أبعث حيا﴾ [مَريَم: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na salamu na amani ziko juu yangu mimi siku niliyozaliwa, siku nitakapokufa na siku nitakapofufuliwa nikiwa hai siku ya Ya Kiyama.» |