Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 41 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَٱذۡكُرۡ فِي ٱلۡكِتَٰبِ إِبۡرَٰهِيمَۚ إِنَّهُۥ كَانَ صِدِّيقٗا نَّبِيًّا ﴾
[مَريَم: 41]
﴿واذكر في الكتاب إبراهيم إنه كان صديقا نبيا﴾ [مَريَم: 41]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na uwatajie, ewe Mtume, watu wako katika hii Qur’ani kisa cha Ibrahīm, amani imshukiye; kwa hakika yeye alikuwa ni mkweli mkubwa na ni miongoni mwa Manabii wa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, wenye daraja za juu |