Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 40 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿إِنَّا نَحۡنُ نَرِثُ ٱلۡأَرۡضَ وَمَنۡ عَلَيۡهَا وَإِلَيۡنَا يُرۡجَعُونَ ﴾
[مَريَم: 40]
﴿إنا نحن نرث الأرض ومن عليها وإلينا يرجعون﴾ [مَريَم: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi ndio tutakaoirithi ardhi na walio juu yake kwa kutoeka kwao na kusalia kwetu baada yao, na uamuzi wetu kupitishwa kwao. Na kwetu sisi ndio mwisho wao na kuhesabiwa kwao, na hapo tuwalipe kwa matendo yao |