Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 42 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿إِذۡ قَالَ لِأَبِيهِ يَٰٓأَبَتِ لِمَ تَعۡبُدُ مَا لَا يَسۡمَعُ وَلَا يُبۡصِرُ وَلَا يُغۡنِي عَنكَ شَيۡـٔٗا ﴾
[مَريَم: 42]
﴿إذ قال لأبيه ياأبت لم تعبد ما لا يسمع ولا يبصر ولا﴾ [مَريَم: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Aliposema kumwambia babake, Āzar, «Ewe baba yangu! Ni kwa jambo gani unaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, masanamu wasiosikia, wasioona na wasioweza kuzuia chochote kisikufike |