×

Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu 2:39 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:39) ayat 39 in Swahili

2:39 Surah Al-Baqarah ayat 39 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 39 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَآ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلنَّارِۖ هُمۡ فِيهَا خَٰلِدُونَ ﴾
[البَقَرَة: 39]

Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo watadumu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والذين كفروا وكذبوا بآياتنا أولئك أصحاب النار هم فيها خالدون, باللغة السواحيلية

﴿والذين كفروا وكذبوا بآياتنا أولئك أصحاب النار هم فيها خالدون﴾ [البَقَرَة: 39]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wenye kukataa na kukanusha aya zetu zinazosomwa na dalili za Umoja Wetu, basi hao ndio ambao watasalia Motoni, wakiwa humo milele: hawatatoka humo.”
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek