Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 38 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 38]
﴿ويقولون متى هذا الوعد إن كنتم صادقين﴾ [الأنبيَاء: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na makafiri wanasema, wakiifanyia haraka adhabu kwa njia ya shere, «Ni lini itapatikana ile unayotuonya nayo, ewe Muhammad, iwapo wewe na aliyekufuata wewe ni miongoni mwa wakweli.» |