×

Mwanaadamu ameumbwa na haraka. Nitakuonyesheni Ishara zangu. Basi msinihimize 21:37 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:37) ayat 37 in Swahili

21:37 Surah Al-Anbiya’ ayat 37 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 37 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿خُلِقَ ٱلۡإِنسَٰنُ مِنۡ عَجَلٖۚ سَأُوْرِيكُمۡ ءَايَٰتِي فَلَا تَسۡتَعۡجِلُونِ ﴾
[الأنبيَاء: 37]

Mwanaadamu ameumbwa na haraka. Nitakuonyesheni Ishara zangu. Basi msinihimize

❮ Previous Next ❯

ترجمة: خلق الإنسان من عجل سأريكم آياتي فلا تستعجلون, باللغة السواحيلية

﴿خلق الإنسان من عجل سأريكم آياتي فلا تستعجلون﴾ [الأنبيَاء: 37]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ameumbwa mwanadamu akiwa na pupa, anayafanyia haraka mambo na anakuwa na pupa yawe. Na kwa kweli, Makureshi waliifanyia haraka adhabu na wakaona kuwa imechelewa kutokea., Mwenyezi Mungu Akawaonya kwamba Atawaonesha adhabu waliyoifanyia haraka, basi wasimuombe Mwenyezi Mungu awaharakishie na awaletee kwa upesi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek