Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 1 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿قَدۡ أَفۡلَحَ ٱلۡمُؤۡمِنُونَ ﴾
[المؤمنُون: 1]
﴿قد أفلح المؤمنون﴾ [المؤمنُون: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika wamefaulu wenye kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, wenye kuzitumia sheria Zake |