Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 118 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿وَقُل رَّبِّ ٱغۡفِرۡ وَٱرۡحَمۡ وَأَنتَ خَيۡرُ ٱلرَّٰحِمِينَ ﴾
[المؤمنُون: 118]
﴿وقل رب اغفر وارحم وأنت خير الراحمين﴾ [المؤمنُون: 118]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na useme, ewe Nabii, «Mola wangu! Samehe madhambi na urehemu. Na wewe ndiye bora wa anayemrehemu mwenye dhambi, akaikubali toba yake na asimtese kwa dhambi zake |