Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 42 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿ثُمَّ أَنشَأۡنَا مِنۢ بَعۡدِهِمۡ قُرُونًا ءَاخَرِينَ ﴾
[المؤمنُون: 42]
﴿ثم أنشأنا من بعدهم قرونا آخرين﴾ [المؤمنُون: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tukawaleta, baada ya hawa waliokanusha, ummah na viumbe wengine, kama watu wa Lūṭ, Shu'ayb, Ayyūb na Yūnus, rehema za Mwenyezi Mungu na amani Yake ziwashukie |