×

Basi ukawanyakua ukelele kwa haki, na tukawafanya kama takataka zinazo elea juu 23:41 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:41) ayat 41 in Swahili

23:41 Surah Al-Mu’minun ayat 41 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 41 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿فَأَخَذَتۡهُمُ ٱلصَّيۡحَةُ بِٱلۡحَقِّ فَجَعَلۡنَٰهُمۡ غُثَآءٗۚ فَبُعۡدٗا لِّلۡقَوۡمِ ٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[المؤمنُون: 41]

Basi ukawanyakua ukelele kwa haki, na tukawafanya kama takataka zinazo elea juu ya maji. Ikapotelea mbali kaumu ya madhaalimu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فأخذتهم الصيحة بالحق فجعلناهم غثاء فبعدا للقوم الظالمين, باللغة السواحيلية

﴿فأخذتهم الصيحة بالحق فجعلناهم غثاء فبعدا للقوم الظالمين﴾ [المؤمنُون: 41]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hawakupitiwa na muda, uliwajia wao ukelele mkali pamoja na upepo ambao kwa upepo huo Mwenyezi Mungu Aliwaangamiza, wakafa wote na wakawa ni kama takataka za mtiririko wa maji zinazoelea juu ya maji. Basi maangamivu ni ya hawa madhalimu, na kuwa mbali na rehema ya Mwenyezi Mungu ni kwao. Kwa hivyo, na wajihadhari wenye kusikia, wasije wakawakanusha Mitume wao, ikawashukia wao adhabu ilyowashukia waliowatangulia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek