Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 67 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿مُسۡتَكۡبِرِينَ بِهِۦ سَٰمِرٗا تَهۡجُرُونَ ﴾
[المؤمنُون: 67]
﴿مستكبرين به سامرا تهجرون﴾ [المؤمنُون: 67]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Mnalifanya hilo na huku mnawaonesha watu kiburi pasi na haki kwa sababu ya Nyumba ya Mwenyezi Mungu tukufu. Mnasema, ‘Sisi ni watu wa Nyumba hiyo, hatushindwi tukiwa hapo,’ na mnakesha mkiwa kando-kando yake kwa maneno maovu.» |