Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 66 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿قَدۡ كَانَتۡ ءَايَٰتِي تُتۡلَىٰ عَلَيۡكُمۡ فَكُنتُمۡ عَلَىٰٓ أَعۡقَٰبِكُمۡ تَنكِصُونَ ﴾
[المؤمنُون: 66]
﴿قد كانت آياتي تتلى عليكم فكنتم على أعقابكم تنكصون﴾ [المؤمنُون: 66]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Zilikuwa aya za Qur’ani zikisomwa kwenu, ili mupate kuziamini, na mlikuwa mnazikimbia hamtaki kuzisikia na kuzikubali na kuzitumia, kama anavyofanya mwenye kurudi nyuma kwa kule kurudi kwake nyuma |