Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 114 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَمَآ أَنَا۠ بِطَارِدِ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[الشعراء: 114]
﴿وما أنا بطارد المؤمنين﴾ [الشعراء: 114]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na mimi si mwenye kuwafukuza wale wanaouamini ulinganizi wangu, namna itakavyokuwa hali yao, kwa kufuata matakwa yenu, ili mniamini |