Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 113 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنۡ حِسَابُهُمۡ إِلَّا عَلَىٰ رَبِّيۖ لَوۡ تَشۡعُرُونَ ﴾
[الشعراء: 113]
﴿إن حسابهم إلا على ربي لو تشعرون﴾ [الشعراء: 113]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Hesabu yao, ili walipwe kwa matendo yao na yaliyomo ndani ya nafsi zao, ni juu ya Mola wangu Anayeona na kujua siri zote. Lau mnatambua hilo hamngalisema maneno haya |