Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 117 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ رَبِّ إِنَّ قَوۡمِي كَذَّبُونِ ﴾
[الشعراء: 117]
﴿قال رب إن قومي كذبون﴾ [الشعراء: 117]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nūḥ aliposikia neno lao hili, alimuomba Mola wake kwa kusema, «Mola wangu! Kwa hakika watu wangu wameamua kuendelea kunikanusha |