Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 204 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿أَفَبِعَذَابِنَا يَسۡتَعۡجِلُونَ ﴾
[الشعراء: 204]
﴿أفبعذابنا يستعجلون﴾ [الشعراء: 204]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, hawa wamedanganyika na kule kuwapa muhula kwangu ndipo wakawa wanataka kuteremka adhabu kwa haraka juu yao kutoka mbinguni |