Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 205 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿أَفَرَءَيۡتَ إِن مَّتَّعۡنَٰهُمۡ سِنِينَ ﴾
[الشعراء: 205]
﴿أفرأيت إن متعناهم سنين﴾ [الشعراء: 205]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, umejua, ewe Mtume, lau tungaliwastarehesha kwa uhai wa miaka mingi kwa kuwacheleweshea muda wao wa kuishi |