Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 203 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَيَقُولُواْ هَلۡ نَحۡنُ مُنظَرُونَ ﴾
[الشعراء: 203]
﴿فيقولوا هل نحن منظرون﴾ [الشعراء: 203]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na hapo waseme, watakaposhtushwa nayo, kwa majuto ya Imani iliyotupita tukaikosa, «Je, sisi ni wenye kupatiwa nafasi na kucheleweshwa tupate kutubia kwa Mwenyezi Mungu ushirikina wetu na tuyapatilize yaliyotupita?» |