Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 217 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَتَوَكَّلۡ عَلَى ٱلۡعَزِيزِ ٱلرَّحِيمِ ﴾
[الشعراء: 217]
﴿وتوكل على العزيز الرحيم﴾ [الشعراء: 217]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Umuachie jambo lako Mwenyezi Mungu, Aliye Mshindi Ambaye hakuna wa kushindana na Yeye wala wa kumlazimisha, Mwenye kurehemu Ambaye Hawaachi wenye kumtegemea |